Monday 22 August 2016

KISBO SAFARI

Anajulikana kama Kirikiri Surviour Boys  ama KISBO alianza miaka michache iliopita akiwa na gari  chache kama mbili ,Lakini kwa hizi siku za karibuni ni moja ya kampuni inayokuwa vizuri ikiwa na ruti hizi: 
                                Mwanza - Dar
                               Tabora -    Dar
                               Kahama - Dar

Huku pembeni yake ikizaliwa kampuni ndogo ikijulikana kama SKYLINE Express wakiwa na ruti za:                           
                                Arusha - Dar

hawakuishia hapo wameendelea mbele na kuzaliwa kampuni ingine pia ikijulikana kama KIBO Express wakiwa na Ruti za:  
                                   Mwanza - Moshi.

Wapenzi wa kampuni hii hujiita "WE ARE KIRIKIRI BOYS"



Dar Kahama at Msamvu Bust Terminal


_____________________________________________________________________________________________________


Baada ya kukaa kifunguni kwa muda kadhaa chama la wana KISBO. Wanarudi wiki hii stay tuned. 
Tarehe 31/8/2016 Chuma zinarudi The Return Of the super Man




2 comments: