Tuesday 30 August 2016

DAR EXPRESS



Dar Express ni moja ya kampuni Maarufu na kampuni inayoheshimika katika usafirishaji wa abiria ukanda wa kaskazini, Ni kampuni yenye wahudumu na madereva wenye uweledi wa hali ya juu ili kuhakikisha inatoa huduma ya usalama na uhakika , kampuni hii inafanya safari za :
  •                               Dar Nairobi
  •                               Dar   Moshi Arusha
  •                               Dar   karatu
  •                               Dar   Rombo

Dar Express ni moja ya kampuni chache zilizojizolea umaarufu kwa basi za kisasa na zenye usalama wa hali ya juu, 

ukisafiri na kampuni ya dar express, utapata huduma ya Maji, Juisi, Vitafunwa huku ukifurahia Kiyoyozi mpaka miguuni.

SAFIRI NA DAR EXPRESS KWA USALAMA NA SAFARI ZA UHAKIKA








 

No comments:

Post a Comment