KUTANA NA..

Ukurasa huu ni Maalumu kwa ajili ya kukutana na wataalamu mbalimbali wa masuala ya Mabasi ikiwemo :

  • Mafundi
  • Madereva na Makonda
  • Designer wa body na Graphics
  • Wamiliki wa Mabasi
  • Baadhi ya waasisi katika sekta ya usafirishaji
  • Taarifa za kina kuhusu Mabasi

_________________________________________________________________________________

Leo Kutana na Dar Coach Limited

WATANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA, TUNAWAKARIBISHA WOTE KUTUMIA HUDUMA ZETU NA TUNAPATIKANA MWANDEGE,WILAYA YA MKURANGA PLOT No.770
P.O.BOX 40049 DAR ES SALAAM
TANZANIA.
WASILIANA NASI
+255 789 099088
+255 688 339399
Fax: +255 22 2860926
KARIBUNI SANA
WE TRANSFER YOUR WORLD TO THE FUTURE WITH QUALITY BUSES. TANZANIA PRIDE.

-Ni watengenezaji wa body za mabasi za kisasa kabisa wanapatikana kwa anuani hizo hapo juu.
Diamond Body From dar Coach

Crysta Body

Zhongthong Replica




DAR COACH FACEBOOK PAGE
________________________________________________________________________________

Leo KUTANA NA  Kareem Designer, Bwana Mdogo wa kidato(), Mkazi wa Dar
 Kareem ni Graphics Designer na Mikono yake Imehusika kudesign kazi kadhaa

baadhi ta kazi hizo ni:
  • Kibo Express
  • Twiga International
  • Luwinzo DHA
  • Navic Luxury       




Kareem, Kareem Art Work









Mikono ya Kareem Art Work, Viva TBB

__________________________________________________________________________________


Marcopolo Torino


Likiwa limeundwa maalum kwa kubebea abiria ruti fupi na ndani ya mji kama basi la mwendo kasi Marcopolo Torino ni basi linaloundwa na kusambazwa na kampuni ya Marcopolo ya Brazil tangu mwaka 1983 na moja ya mabasi ya Marcopolo yanayouzwa zaidi.

Mabasi haya yalianza kuingia nchini kwenye mwaka 2004 yakionekana kwa kampuni ya Hood, Torino zilijizolea umaarufu Africa mwaka 1999 baada Great North Transport ya Afrika kusini kununua jumla ya Torino 340 kwaajili ya ruti fupi na ndefu barabara mbaya na nzuri kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuvumilia mazingira ya Afrika . Kwa sasa kampuni nyingi za mabasi Afrika zinaendelea kutumia mabasi ya Torino

Hapa nchini Torino zinamilikiwa na kampuni ya Hood (Torino g6), Nzega coach (Torino g7), Shule ya Kaizirege (Torino g7) na Chuo cha Pasiansi (Torino (g7)

 

 

No comments:

Post a Comment