Tuesday 30 August 2016

DAR EXPRESS



Dar Express ni moja ya kampuni Maarufu na kampuni inayoheshimika katika usafirishaji wa abiria ukanda wa kaskazini, Ni kampuni yenye wahudumu na madereva wenye uweledi wa hali ya juu ili kuhakikisha inatoa huduma ya usalama na uhakika , kampuni hii inafanya safari za :
  •                               Dar Nairobi
  •                               Dar   Moshi Arusha
  •                               Dar   karatu
  •                               Dar   Rombo

Dar Express ni moja ya kampuni chache zilizojizolea umaarufu kwa basi za kisasa na zenye usalama wa hali ya juu, 

ukisafiri na kampuni ya dar express, utapata huduma ya Maji, Juisi, Vitafunwa huku ukifurahia Kiyoyozi mpaka miguuni.

SAFIRI NA DAR EXPRESS KWA USALAMA NA SAFARI ZA UHAKIKA








 

Monday 29 August 2016

ASANTE RABBI

Arusha - Mwanza pamekuwa patamu , Hivi karibu kampuni ya Asante Rabbi wameachia chuma ingine

2*2

Arusha Mwanza kaja kuwasaidia, BAP na Marcopolo




Sunday 28 August 2016

MTOTO GEMA

Katika harakatiza kujikita kwenye kutoa huduma bora katika nyanja ya usafirishaji kampuni ya Mtoto gema Imeongeza Basi moja walilonunua kutoka kwa MTL


Picha na: Zembwe wa zembwe






Thursday 25 August 2016

Luwinzo

Mbabe, Mwanaume, Nguli , Mtata wa njia ya Dar- Moro-Iringa- njombe.Alivokuwa anawatoa kijasho akina nyagawa, na wengineo katika ubora wake yeye na BAP(Sasa ni Asante Rabbi). Ametwala vilivo mpaka utawala ulipoishia kwa 80kph, 50kph, 30kph. Muite Luwinzo na Flepa la kibabe TUPO DORIA








From Sweeden to Guanzhou..Operesheni tokomeza scania Muda si mrefu zitabaki cummins tu.





Luwinzo -Sweet africa 

Monday 22 August 2016

The Return o the super Man

Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba yule nguli, mbabe wa Kahama - Dar, hivi karibuni anaweza kurudi mzigoni tena stay tuned for CITY BOY..

                   CITY BOY RELOADED

KISBO SAFARI

Mapema Leo kampuni ya KISBO SAFARI , basi zake zilikuwa zikikaguliwa katika chuo cha usafirishaji NIT.

UKaguzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama na weledi katika usafirishaji ndani ya kampuni ya KISBO



                         SIMIYU EXPRESS
              "They call it simiyu we call it home"

               Dar- Simiyu

               Mzigo from Zambia polo 

Kilimanjaro Express

           Wanaitwa Kilimanjaro Express ama Wasafi kama inavujulikana kwa Wanazi wa timu Ningekuwa (Onni Sigalla- Mhariri wa Kiswahili) Ningeiita Timu hii Nguli wa huduma zilizobobea na zilizotukuka kwa kanda ya Kaskazini: Yaani Arusha, Moshi pamoja na Viunga vyake

Ni kampuni yenye uweledi wa hali juu katika sekta hii ya usafirishaji, ikisafirisha Abiria salama na raha mustarehe.

Ni moja ya kampuni chache zenye Terminal(stand) yake ya kisasa na Hotel kwa ajili ya abiria hao. Hao ndio wasafi.

Hizi ndio series za bus zao.
                        
A SERIES

1.T893 APD
2.T895 APD
3.T983 AWY
4.T987 AWY
5.T839 AXR
6.T855 AXR
7.T540 AQK
8.T639AQN
9.T832ASM
10.T491 ARB


B SERIES YUSCANIA

11.T545 BHY
12.T546 BHY
13.T809 BGZ
14.T814 BGZ
15.T871 BVA
16.T860 BVA

D  SERIES

17.T804 DDB
18.T805 DDB
19.T705 DGQ
20T706 DGQ
21.T708 DGQ
22.T709 DGQ
           Stay Tuned Kuna chuma kali za kisasa, luxury na kila kitu toka kwa madiba South Africa Soon Zitaingia Tanzania.

Viva KLM Wasafiiiiii









KISBO SAFARI

Anajulikana kama Kirikiri Surviour Boys  ama KISBO alianza miaka michache iliopita akiwa na gari  chache kama mbili ,Lakini kwa hizi siku za karibuni ni moja ya kampuni inayokuwa vizuri ikiwa na ruti hizi: 
                                Mwanza - Dar
                               Tabora -    Dar
                               Kahama - Dar

Huku pembeni yake ikizaliwa kampuni ndogo ikijulikana kama SKYLINE Express wakiwa na ruti za:                           
                                Arusha - Dar

hawakuishia hapo wameendelea mbele na kuzaliwa kampuni ingine pia ikijulikana kama KIBO Express wakiwa na Ruti za:  
                                   Mwanza - Moshi.

Wapenzi wa kampuni hii hujiita "WE ARE KIRIKIRI BOYS"



Dar Kahama at Msamvu Bust Terminal


_____________________________________________________________________________________________________


Baada ya kukaa kifunguni kwa muda kadhaa chama la wana KISBO. Wanarudi wiki hii stay tuned. 
Tarehe 31/8/2016 Chuma zinarudi The Return Of the super Man