Tuesday 15 November 2016

Breaking News

Super Feo

Hivi karibuni basi mpya za Super Feo zitaingia Nchini , Tayari zimepakiwa kwenye meli

Modeli ya bus ni Yutong F12 plus








___________________________________________________________________________________


Basi la kampuni ya Senkenke T 845 CKC, Limepata ajali maeneo ya kwa Makunganya nje kidogo ya mji wa Morogoro. Leo asubuhi 15/11/2016

Mpaka habari zinatufikia inasemekana aliefariki ni mmoja (1). Majeruhi zaidi ya (10).

Chanzo cha ajali pia kulingana na mashuhuda wanasema ni mwendo kasi wa basi ndio uliosababisha basi kupinduka

Bado tunafuatilia taarifa kwa undani tutaendelea kuwajuza kadri tupatavyo taarifa.

Mungu zilaze pema roho za marehemu na awajaalie kupona haraka Majeruhi.





Picha na TBB .

No comments:

Post a Comment