Wednesday 12 April 2017

Saratoga Line


Pride of Kigoma

Hivi karibuni katoa Bas nne mpya 

Zhongthong Climber 2

Yutong F12 Plus 2

Full AC

2*2 Seat configuration

Entertainment 





 

Friday 6 January 2017

Mghamba

Game la sekta ya usafiri linahama taratibu toka kwenye basi zenye mashine kubwa na za kibabe

2*3 , hamna Tv, Hamna , Kiyoyozi.

Sasa soko la mabasi na Usafiri umeshikwa na gari nzuri Tv, kiyoyozi, 2*2

Mghamba karibu ulimwengu wa sukari ya Warembo


Tuesday 15 November 2016

OTA HIGH CLASS


Kampuni ya Ota High Class inawatanazia wateja wake wote.

Kuanzia : Jumatano 16/11/2016.

Tunaanza ruti mpya ya Dar to Mbinga via Masasi bila kusahau Songea.

Kila siku saa 12:00.

Karibu Ota kwa Safari salama na za uhakika 

Follow us On Instagram  




Baada ya kimya cha miezi kadhaa, Wametoka kifungoni sasa wanarudi tena ni OTA HIGH CLASS

Kwa safari za :

      Dar - Bukoba.


Bukoba stays tuned, The King is Back.

Breaking News

Super Feo

Hivi karibuni basi mpya za Super Feo zitaingia Nchini , Tayari zimepakiwa kwenye meli

Modeli ya bus ni Yutong F12 plus








___________________________________________________________________________________


Basi la kampuni ya Senkenke T 845 CKC, Limepata ajali maeneo ya kwa Makunganya nje kidogo ya mji wa Morogoro. Leo asubuhi 15/11/2016

Mpaka habari zinatufikia inasemekana aliefariki ni mmoja (1). Majeruhi zaidi ya (10).

Chanzo cha ajali pia kulingana na mashuhuda wanasema ni mwendo kasi wa basi ndio uliosababisha basi kupinduka

Bado tunafuatilia taarifa kwa undani tutaendelea kuwajuza kadri tupatavyo taarifa.

Mungu zilaze pema roho za marehemu na awajaalie kupona haraka Majeruhi.





Picha na TBB .

Monday 14 November 2016

BM LUXURY


BM_LUXURY_COACH

UBUNGO BT OFFICE no_15.
 Contact us: 0714029811
                    0655816675,
                    0716254000
Morogoro-Dar 
Morogoro-Arusha 
Dar-Turiani(via moro) 
Arusha-Turiani (via handeni)

Follow us on Instagram