Tuesday 27 September 2016

Mghamba Express

Mghamba Express Mfalme wa Kaskazini, Mbabe wa Kaskazini, Kwa ruti za :

  •  Mwanza-Moshi
  • Mwanza-Arusha
  • Moshi-Geita
  • Arusha-Kahama
Safiri na Mghamba Express kwa uhakika usalama na mustarehe zaidi, Mghamba wanakupa option ya kibabe 3*2 , na sukari ya warembo ama luxury 2*2

Kwa Booking na mawasiliano 0752 0209065.




Wednesday 21 September 2016

Melkidezeki

Kwa safari za Dar na Kyela kila siku safiri na Melkidezeki Lux liner kwa safari ya uhakika na salama

From City to Boarder na Melkidezeki luxliner





Monday 19 September 2016

Dar Lux

Leo Asubuhi safari iliishia Mataa ya kibo baada ya Struggle line, Kumgonga dar Lux nyuma

Picha na Brian Tbb

Thursday 15 September 2016

FM Safari

IN SCANIA I TRUST.

FM Safari anaendelea kujizatiti ruti ya Mbeya-Dar, Hivi karibuni ametoa kitu kipya, Kutoka dar Coach, Mbeya twaja.




Picha na Dar Coach Facebook Page

Monday 12 September 2016

EID NJEMA

Tanzania Bound Buses Inapenda kuwatakia Waislamu na wasio waislamu duniani kote. Eid Njema

TBB ULIPO TUPO


Saturday 10 September 2016

FIRST CHOICE

Mgeni mwingine First Choice, Dodoma Dar

Yutong F12
Seat Configuration 2*2
Leather seat
Large legroom

katika harakat za kuanza kukamata soko la Dar Dodoma, Ameanza ruti 9/9/2016 kwa kusafirisha abiria bure. Ofa hii itkuwepo hadi Jumatatu au Jumanne 12/13-9-2016







Picha Na : Victor BM TBB whatsapp

Dar Lux

The luxury and safest way to travel :
 Kwa safari za :

 Dar- Mwanza
Dar - kahama
Dar- Tunduma
Dar-Mbeya
Dar-Arusha-Nairobi

wasiliana nasi kwa

Dar Lux Co.Ltd
P.o.box 12233
Dar -Es- salaam

Tel:+255  222 461 585
Fax :+255 222 461 586
Web: www.darlux.co.tz
E-mail :info@darlux.co.tz
.Facebook page Tu follow


                   Kwa safari za uhakika, salama na raha mustarehe safiri na DAR LUX.







Thursday 8 September 2016

Kilimanjaro Express

Niliwaambia STAY TUNED ile mizigo ya kisasa generation ya kijanja zaidi, safe & Comfortable travel.

Mizigo iko njian from South Africa kwa Madiba ikija Tanzania kuwashika wana kaskazini  ni Macopolo Piruuuuu!!!!(Mpya) ikiwa na sifa hizi.

                                    Seat : 2*2
                                    kiyoyozi : Mpaka Miguuni
                                    Refreshment : Soda, Maji ,Cake, biscuits
                                    Huduma: Ni za kisasa na warembo safii
                                    Entertainment: HD Television za kutosha na Mziki laini

Hao ni Wasafi ama KLM wana mlima.



Picha na : KLM page Instagram

Wednesday 7 September 2016

Zuberi

Ukiongelea kampuni nguli na mkongwe kwenye ruti ya DAR-MWANZA, huwezi ukamuacha Zuberi & Sons, kampuni hii imedumu miaka nenda rudi tangia kipindi kile cha Gonga shimo (Rough Road).

Enzi hizo Ukitoka Mwanza saa 12 asubuhi singida unafika saa 11 jioni,...

Kampuni hii imekua ikichepua kila siku wakianza na Masufuria(Local made bus) mpaka Andare na Volvo Bus. Baada ya kusoma upepo wa kibiashara Mzee Zuberi aliuza baadhi ya mabasi na kuhamia kwa mabasi ya kichina ili kwenda na wakati na soko la mabasi.

Kadri kampuni ilivyokuwa inakuwa kubwa, zikazaliwa kampuni nyingine pia kutoka Zuberi, ambazo ni Kisesa na Zube.

Kwa kwenda na TREND ya soko kampuni hii inamiliki basi kadha wa kadha za kichina ikiwa ni Higer na ZhongThong.

Kudhihirisha unguli wake wa kibiashara kampuni hutoa gari tano mpaka sita kwa ruti ya Dar - Mwanza ikiwa ni Mchanganyiko Zuberi na Kisesa.







Safari Njema

Safari Njema, a.k.a Maandishi matatu, Inakuunganisha kwa safari za Dodoma - Dar Kila siku, Hivi karibuni wametoa chuma SUKARI ya WAREMBO.
                              Yutong f12
                               2*2
                               luxury
                               Full A/C