Wednesday 26 October 2016

Mpya

katika kuhakikiksha abiria wake wanapata huduma za kisasa na kwa uweledi wa hali ya juu kampuni ya SUPER FEO na BM wameleta bus mpya ambazo zitaanza ruti hivi karibuni.


Thursday 20 October 2016

Super Feo


Super.Feo.Express


Kampuni ya usafirisha abiria&mizigo The Pride Of Southern 
Dar office +255-657571820 
Songea Office +255 658 228384 
Whatsapp picha +255-715 225393

Kwa Ruti za:

       Dar - Songea
       Morogoro - Songea
       Dodoma - Songea
       Mbeya - Songea
       Mbeya - Mbinga
       Sumbawanga - Tunduma - songea n.k.              


Tarehe 23/10/2013. Kampuni ya SUPER FEO wanafungua ruti mpya ya Songea-Masasi-Lindi-Dar.
Karibu Feo .

Super Sami

Wana Mwanza stay Tuned, Super Sami hivi karibuni atatoa vitu vipya. Zhongthong Climber 3 Mpya

Mwanza Dar mambo yameiva.




 Picha na : Vikta TBB

MEMENTO

Kahama pamekuwa moto, Mgeni mwingine huyu anakuja Anaitwa Memento

Kahama Dar. Kazi safi ya local Fabricators wetu.

Kahama kutakuwa na kampuni hizi :


  • Kisbo
  • Wibonela
  • City Boy
  • Dar Lux
  • leo luxury
  • Rungwe
  • Dar Lux
  • Fahari
  • Rungwe                    






    Picha na: Robert Tbb




     Inasemekana Memento ameshindwa kupeleka gari Kahama, Kwani mahitaji ya ya Kahama unatakiwa kuwa na gari 4. Kwa sasa kampuni inafanya kazi DAR - SINGIDA akipambana na.
    •    Abc
    • Jm Luxury
    • Shabiby
    • Kaprikon
    • Imo
    • Tashrif

    Akiwa Anaingia Msamvu siku ya tarehe 14/10/2016

Wednesday 5 October 2016

Trinity

Mgeni huyu kwa safari za Dar kigali kupitia kahama.

    seat  2*2
    Legroom kubwa.
    Nauli ya kijasiriamali.
  
Yutong f12 swafi , hatuna haraka mteja kwetuni zaid ya huyo Mfalme.



Monday 3 October 2016

Abood Bus service

KING OF THE ROAD.

Wajuzi wa mambo humuita king of the road mbabe wa enzi za Babu mpaka wajukuu tunamkubali.

Kwa ruti za :
           


  • Dar - Mbeya
  • Dar - Morogoro
  • Dar - Iringa
  • Dar - Tunduma
  • Morogoro - Arusha. 

Safiri na Abood KING OF THE ROAD kwa siti za 2*2 na  3*2, Kiyoyozi, na safari za uhakika.

Mawasiliano :

 P.o. Box 127

Tel : 0788 247857
        0748 679900 - Morogoro

        0754 272599
        0713 323030- Dar

        0754 993954 - Mbeya